Kwa wale waliowahi kupata like au Reply ya CEO wa JF ndugu Maxence Melo tukutane hapa

Aiseeeee ,,wakat fulan ,,mwafrika alikua akifanikiwa kumshika mzungu mkono ,, Basi Siku iyo hatonawa mikono na ataomba sababu anaona km ni baraka.


Leo hiii bado tunaishi ktk utumwa ule ule,,,Hamisa mobeto kuzaa na diamond Hajiamin mpaka Leo ukooo mzm unafurahia.

Naww naye umeamua kuanzisha Uzi kisa Likes na reply ya CEO wa JF.


Vyuma naona ndo vimekaza !!.
 
Mimi ni miongoni mwa member waliopata bahati hiyo ya kupewa LIKE na Melo
 
kwani si kuna kipindi alikua segedansi..aliishachiwa kumbe?
 
Mimi ni miongoni mwa member waliopata bahati hiyo ya kupewa LIKE na Melo
Yani hiyo kwako ni bahati!! Kazi ipo.

Tulianza na Thanks kabla ya kuletwa Like.

Max majukumu yameongezeka ndio maana siku hizi haumuoni humu, hapo nyuma tulikuwa naye sambamba kwenye thread full time na kazi ya mod alikuwa anaifanya.

Sasa hivi kameanza kushika hela Nshomile utamtaka?
 
khaaa...mbona kawaida tu,, watu tumepata like, hadi kupigiwa simu na akina Biligate ila tupo kimya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…