kwa wale walioweka vitambulisho vyao vya kura kwenye form ya mkopo

kwa wale walioweka vitambulisho vyao vya kura kwenye form ya mkopo

mnoel

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
211
Reaction score
98
hebu nisaidien,
nili attach kitambulsho changu cha kura kwenye ile form ya loan badala ya kitambulisho cha mdhamini!, ila kwenye list ya waliokosea simo, wht cn i do members!
 
Hata mm niliweka changu coz hawakuwa specific ni kipi uweke, pia sipo kwenye ile list yao, 'am waitin' 4 God'z mercy...
 
Musijali shida yao ni kitambulisho tu,wamesema cha mdhamini kwa sababu wengi wetu vitambulisho vya kura hatuna.hivyo ni sawa tu na nadhan ndo maana hamkuwemo kwenye list.
 
Hapo mkuu omba sana huruma ya mwenyezi mungu maana wakisema mdhamini wanamaanisha mtu mwingine zaidi ya wewe...lakini kama haupo kwenye list then its all good
 
Wengi sana tumelifanya hili kosa ila hakuna list ambayo tumo,labda tuko sawa au huruma!
 
Sasa tungejuaje? Maana pale walisema kitambulisho cha kura, liseni ya udereva au pasi ya kusafiria, ila hawakusema ni vya nani.
 
Mimi nilifanya hivyo pia,ila niliwatumia hyo copy ya kitambulisho cha mdhamini(maza) baada ya lile tangazo lao la kuhitaji hivyo(japo sikuwa kwenye ile list). Msijilaumu kwamba mlikosea kwa sababu hakuna palipokuwa panadai kitambulisho cha mdhamini ktk ile form bali namba ya kitambulisho.
 
Hao maafisa wa Loan board wapo hapa nadhani mnawakumbusha kufanya kazi zao ama wakahakiki upya...
 
Mimi nilimuombea mdogowangu ila sikuweka kitambulisho changu wala cha mdhamini na kwenye list simo cjui inakuwaje
 
hebu nisaidien,
nili attach kitambulsho changu cha kura kwenye ile form ya loan badala ya kitambulisho cha mdhamini!, ila kwenye list ya waliokosea simo, wht cn i do members!

nahisi matatizo n ya kwao kwa kuwa kwenye vipeperushi vyao wamesema guarantors vote card alaf kwenye muongozo uliopo kwenye form zao wanahitaj vote card ya applicant.
 
Back
Top Bottom