hebu nisaidien,
nili attach kitambulsho changu cha kura kwenye ile form ya loan badala ya kitambulisho cha mdhamini!, ila kwenye list ya waliokosea simo, wht cn i do members!
Musijali shida yao ni kitambulisho tu,wamesema cha mdhamini kwa sababu wengi wetu vitambulisho vya kura hatuna.hivyo ni sawa tu na nadhan ndo maana hamkuwemo kwenye list.
Hapo mkuu omba sana huruma ya mwenyezi mungu maana wakisema mdhamini wanamaanisha mtu mwingine zaidi ya wewe...lakini kama haupo kwenye list then its all good
Mimi nilifanya hivyo pia,ila niliwatumia hyo copy ya kitambulisho cha mdhamini(maza) baada ya lile tangazo lao la kuhitaji hivyo(japo sikuwa kwenye ile list). Msijilaumu kwamba mlikosea kwa sababu hakuna palipokuwa panadai kitambulisho cha mdhamini ktk ile form bali namba ya kitambulisho.
hebu nisaidien,
nili attach kitambulsho changu cha kura kwenye ile form ya loan badala ya kitambulisho cha mdhamini!, ila kwenye list ya waliokosea simo, wht cn i do members!
nahisi matatizo n ya kwao kwa kuwa kwenye vipeperushi vyao wamesema guarantors vote card alaf kwenye muongozo uliopo kwenye form zao wanahitaj vote card ya applicant.