Kwa wale waliwahi KUUGUA na kupata huduma kwa daktari-nurse

Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
6,383
Reaction score
9,337
Je baada ya matibabu ulirudi kumshukuru daktari/nurse?

Je ulishawaza mupenzio unaemjali, unajali mwili wake na kuuthamini...mara afikapo hospitali nurse anachezea/kutikisa/kuvinjari na kukagua kiungo ukipendacho (dudu?).....dokta/nures atizamapo ikulu anakuta chafu wewe ka mwenzie kwa nini usihakikishe anakuwa msafi?

Jamani hiyo minywele ya makwapani na mmmmhhhh/down mnyoe mara kwa mara...(we msomaji huwa unanyoa baada ya siku ngapi?)

Shukuru kwa kila jambo utendewalo katika hali yeyote....mnamaliza 6x6 unatoka BARU bila hata asante hakuna unadhani choo kile kimekupokea ukaacha uchavu ukaondoka.

Big u to all who have committed their time to care for others
 
mwanaume anatakiwa kunyoa baada ya siku arobain.....na mwanamke baada ya siku 30...zaidi ya hapo nywele hubadilika na kuwa najisi.....ila ukinyoa kabla ya mda huo ni vizuri zaidi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…