mohammad_othar
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 247
- 42
Kuna jamaa wangu kachaguliwa hapo alikua anataka kujua kama je hostel zinapatikana ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna vyumba vya kupanga kigamboni kama mkono wake co mrefu xana kwa weny mikono mirefu vpo palepale posta...hostel pia zpo chuoni za kupgania kweli...? angalizo kijana wa ifm ambae alilawitiwa anikua amepanga kigamboni..
around 30000,40000 na 50000 inategemea quality ya nyumba yenyew...af pia kuna hostel za watu binafsi ambazo utakuta vtanda na magodoro ila ujanja kuwahi.
Kwa hostel za ndani ya chuo ni kuwahi registration na kulipa kila kitu kinachotakiwa ndio unapata registration number unaiandika kwenye fomu ya kuomba hostel then una submit.
Kama jamaa alivyosema hapo juu,ujanja kuwahi.
Kuna watu wananiambia first year lazima ukae hostel...eti ni lazima au naeza kukaa hom tu
Kuna jamaa wangu kachaguliwa hapo alikua anataka kujua kama je hostel zinapatikana ?
kuna vyumba vya kupanga kigamboni kama mkono wake co mrefu xana kwa weny mikono mirefu vpo palepale posta...hostel pia zpo chuoni za kupgania kweli...? angalizo kijana wa ifm ambae alilawitiwa anikua amepanga kigamboni..
Anikua??????
man of steel mwenyewe, hizo hostel za posta bei gan