Kwa wale walokuepo IFM

mohammad_othar

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
247
Reaction score
42
Kuna jamaa wangu kachaguliwa hapo alikua anataka kujua kama je hostel zinapatikana ?
 
kuna vyumba vya kupanga kigamboni kama mkono wake co mrefu xana kwa weny mikono mirefu vpo palepale posta...hostel pia zpo chuoni za kupgania kweli...? angalizo kijana wa ifm ambae alilawitiwa anikua amepanga kigamboni..
 
Kigamboni chumba sh ngapi mkuu???..unapata empty room au kila kitu ndani?
 
around 30000,40000 na 50000 inategemea quality ya nyumba yenyew...af pia kuna hostel za watu binafsi ambazo utakuta vtanda na magodoro ila ujanja kuwahi.
 
Asante..sasa taratibu za kupata zikoje??
 
Kwa hostel za ndani ya chuo ni kuwahi registration na kulipa kila kitu kinachotakiwa ndio unapata registration number unaiandika kwenye fomu ya kuomba hostel then una submit.
Kama jamaa alivyosema hapo juu,ujanja kuwahi.
 
Kuna watu wananiambia first year lazima ukae hostel...eti ni lazima au naeza kukaa hom tu
 
Sio lazima kukaa hostel ya chuo,maranyingi wale wageni wa mji ndio wanashauriwa hvyo ili wazowee ila nizakupigania maana kuna 2nd yr wanahonga then wanapata.kama unataka jitahidi kufanya registration mapema ndio ujaze fomu za kuomba hostel na ni 450,000 kwa mwaka.
Jitahidi kuwahi.
 
Kuna jamaa wangu kachaguliwa hapo alikua anataka kujua kama je hostel zinapatikana ?

zamani first year kupata chumba ilikua mtihani bt kwa sasa akiwahi kujisajili atapewa chumba na kama hataki anaweza kupanga kigamboni, hostel za ndani wanalipa 450000 kwa mwaka
 
Hili nalo neno akienda panga kigamboni ajipange pia na yeye
 
kuna vyumba vya kupanga kigamboni kama mkono wake co mrefu xana kwa weny mikono mirefu vpo palepale posta...hostel pia zpo chuoni za kupgania kweli...? angalizo kijana wa ifm ambae alilawitiwa anikua amepanga kigamboni..

Anikua??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…