Kwa wale wana michezo kama mimi je hapo tutapona?

Inamaaanisha zimbabwe katujeruhi lakini hasira zetu twaenda kumalizia kwa malawi
 
huwa hapa kwenye utabiri huwa haitokei kweli kwani fitina nyingi subirini muone leo lazima mtu uchoke..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…