Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,368
Je hiyo 10 000 ni gharama ya kutumia kwa muda gani?
hii kitu ni noma 600kb/s-1mb/s ndo download speed
Wale mnaoingia chuo mwezi huu wa 10 nawakumbusha msiikose offer hii
Mm mwenyewe nipo Muhimbili hivo wa chuo hicho nitafuteni na wale wa Vyuo vya Dar nichekini tu
Ukitaka kuwa wakala wangu chuoni kwako unakaribishwa
kaka mi nahitaji kuwa wakala wako! nambie nifanyaje niko bugando!
Sasa utakuwa je Wakala wangu kabla ya kutumia? wewe inabidi uwe unatumia huduma Hii kuwa convince wenzako
Nina wakala wangu ST.Joseph in Tanzania yeye anachokifanya anawawekea BALL la Man U Vs Chelsea Online kina stream bila kuganda hivo anapata wateja.
Hivo kwa Ushauri wangu kabla hujafungua Unaweza Kujiunga kwanza ili uptae cha kutumia kuwa convince wenzako
Soma link ya juu kwa maelezo zaidi ya mahitaji.
Nitafute kwa namba zangu 0753932250 au 0657209956
Halafu mkuu nahitaji kui unlock cm yangu ni Huawei Ascend Y300 nisaidie mchakato unafanyikaje hapo ili niweze tumia mitandao yote na kufaidi huduma ya internet
poa ntakucheki wakati tunaenda chuo!