Wanawake wanaoestrogen na ndiyo inayowafanya waonekane nyororo wakati wanaume wanaandrogen ambayo huzalishwa kwenye testes yaani pumbu, pumbu zinafanya kazi mpaka majogoo wakati wanawake wanapofika 40's estrogen hupungua na kwisha kabisa na ndiyo maana wanapofika umri huu ngozi hulegea tunasema kitalaam wankuwa kwenye penopause hii haiathiri ngozi tu pia inaathiri hata mifupa mara nyingi wanawake wanapata osteoporosis na ndiyo maana wanawake wengi uzeeni huvunjika kirahisi na hupona taratibu sana. Kwa hiyo factor alizotoa mtoa mada sidhani kama ni sahihi sana. Kwa ufupi naweza sema hivyo.