KWA WALE WANAO BET TU

MR LINKO

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,034
Reaction score
3,526
nilikuwa nauliza katika kile kipenge cha super 1 * 2 je ni kweli ukishinda ule mkeka wa milioni 75 ni kweli vipi watato hizo pesa au huwa wanakata maana naona mshindi wa mwisho alipewa millioni 28. maana mimi nimeshinda zote
 
JANA MIMEMBEMBELEZA SANA MAN U KWENYE MIKEKA TOFAUTI NILIMPA O 2.5,NIKAMPA2+,NIKAMPA DOUBLE CHANCE CHA AJABU KACHANA MIKEKA YOTE NA KASEPA NA MTAJI WADAU KAMA KUNA MTU ANAWEZA NICHANGIA MTAJI HATA WA BUKU MBILI INATOSA ANI INBOX NIMPE NAMBA ASIWE NA SHIDA PESA YAKE ITARUDISHWA
 
asante sana njo mi nimeliwa 50 hadi saizi empty ni noma
man u https://jamii.app/JFUserGuide them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…