Kwa wale wanao hitaji kujenga shule na vituo vya mafuta ukanda wa Tegeta na Bagamoyo

Bizney

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
454
Reaction score
48
Habari njema.

Kwa wale wanaohitaji kujenga shule na vituo vya mafuta ukanda wa Tegeta Bagamoyo, sasa maeneo yapo kulingana na mahitaji ya muhitaji. lakini pia viwanja vilivyopimwa ukanda wa Mbweni uelekeo wa bahari mpaka Buju na maeneo ya Mabwepande. Bila kusahau wahitaji wa kununua nyumba maeneo niliyo yataja.

Habari hii inahusu wauzaji pia. Kama una kitu tajwa kati ya hivi utaletewa mteja. kwa mawasiliano piga 0773 944 944
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…