Kuna dada yangu alienda kwenye of
office za Nacte aliambiwa kwa yeyote ambaye aliapply kwenye hii3rd round selection,mnatakiwa kupitia kwenye account zenu yani CAS | DIPLOMA kwani wameshaanza kuevaluate selection wamesema wanaanza leo ijuma date 13/9/2013.kwa hiyo tuvute subira wadau