Ukienda kichwa kichwaHivi fake bado zipo?
Mimi ni agent wa kampuni ya BRITAM INSURANCE wakuu nilikua naomba mtu mwenye gari au magari anahitaji insurance iwe comprehensive au third party anitafute nitakja sehem alipo nimkatie insurance kwa rate nzuri
Kwa mawasiliano zaidi 0718228925 call au whatsupp
Oky mi ni kama direct sales wa britam Mkuu na ofisi zipo hapa moroco bus terminal ukitaka kujiridhisha haina shida tunaenda wote britamKwa nini huna ofisi tukigundua ni feki tujue pa kuanzia? Ma agent, ma broker, ma dalali wa Kiswahili tabu tupu...
Kwani kuna watu wanaenda kwa mikia?Ukienda kichwa kichwa
Bima ya maisha vipi? Nataka kumkatia mtu flani.Karbuni kwa anaehitaji insurance naomba anitafta kwa nmba hzo hapo juu
Iwe Bima ya magari, ya nyumba na hata bima ya afya karbuni
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kwani kuna watu wanaenda kwa mikia?
Hapo safi.....Nichek tuongee mkuu haina shida
Ila ajali inapotokea na anahitaji kulipwa hamumfati alipo ,, yeye ndio anahangaika kufatilia bima mwaka mzima ,,, siwapend bima ni basi tu hakuna namnaMimi ni agent wa kampuni ya BRITAM INSURANCE wakuu nilikua naomba mtu mwenye gari au magari anahitaji insurance iwe comprehensive au third party anitafute nitakja sehem alipo nimkatie insurance kwa rate nzuri
Kwa mawasiliano zaidi 0718228925 call au whatsupp