Haya Mkuu,Mkuu rate zmebadlika toka mwezi wa 7 so saiv ni kuanzia 3.5% angalia hyo ilkua lini?
Policy unanipa ya kuandika kwa mkono, mi nazungumzia ya system iliyokua booked.Ukilipia tu premium nakupa na policy yake mkuu
Duh, basi uko vizuri aisee.Yaah sio ya kuandka inatoka ofisin mkuu
Nilikua nasubiri elimu hii nashangaa inatolewa pm[emoji33][emoji33]Mkuu nilku PM
Yaah karib kaka naweza kukuandkia covernote then policy nakuletea nkienda ofsin au hata tunaweza kwenda woteDuh, basi uko vizuri aisee.
Agents wengine hutoa za mkono kwanza kisha mteja huambiwa arudi after 3weeks+.
Perhaps wewe humchukua mteja direct to head office, humhudumii ofisini kwako.
Poa mkuu wangu, ntakucheki
Karbu sana mkuu usisite kunichek mda wowoteDuh, basi uko vizuri aisee.
Agents wengine hutoa za mkono kwanza kisha mteja huambiwa arudi after 3weeks+.
Perhaps wewe humchukua mteja direct to head office, humhudumii ofisini kwako.
Poa mkuu wangu, ntakucheki
Risiti na Cover note aliompa mteja iliandikwaje?Kuna agent alilipwa hela ya comprehensive akatoa kitu cha third party soku garo imelata ajali ndio kiranga kiliibuka...
Acheni janja janja
Comprehensive but gari lilipopata ajali ikawa dana dana siku anaenda ofsini anakuta imekatwa third party ndio wakaanza kutafutana wakala akakiri kapiga cha juu.... Hawa watu wa insuarance wasumbufu tu.Risiti na Cover note aliompa mteja iliandikwaje?
Kama iliandkwa comprehensive kwny covernote mtu hawez kuwek kwny ssytem km third party hyo nakataa ila km haikuwekwa kwny ssytem hapo sawa mana huez kuingiza kitu tofaut na ulichoandka kwny covernote mkuuComprehensive but gari lilipopata ajali ikawa dana dana siku anaenda ofsini anakuta imekatwa third party ndio wakaanza kutafutana wakala akakiri kapiga cha juu.... Hawa watu wa insuarance wasumbufu tu.
Kuna agent alilipwa hela ya comprehensive akatoa kitu cha third party soku garo imelata ajali ndio kiranga kiliibuka...
Acheni janja janja