leo nilikuwa napita kwenye mtandao mara nimekutana na hii organization higher leaning students support fund(HLSSF)
kuwa wanatoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kama unahitaji website yao ni www.hlssf.org.tz
nawasilisha

true ndugu yan hao ni wezi si kidogo .,naomba vijana wapuuze kabisa hii taarifa na wasubiri kuona HESLB wataamua nini juu ya maombi ya mkopo waliyotuma .
Kwa nn jeshi la polisi mpaka leo halijawachukulia hatua wamliki wa NGO hii tapeli itawamaliza ndugu zetu. Mwaka jana waliwatapeli watu wakitumia address za dar baadae wakapotea sasa wanatumia address za Bukoba. isitoshe namba za simu zipo, bank account zipo sijui kitengo cha polisi kinachoshughulika na wizi wa mtandao wanasubiri nn.