Hata mimi nachanganyikiwa,sielewi ni Mara Sec au MUSOMA Sec kama walivyoandika kwenye selection ya Form V mwaka huu.Nina ndugu yangu kachaguliwa kwenda kusoma MUSOMA form VMchepuo wa HGE. Sasa nimejaribu kuulizia hiyo MUSOMA ni shule ipi Marasekondari au MUSOMA TECH SEC..? Naomba msaada kwa anayejua walipoandika MUSOMAwana maanisha shule ipi? Nimeambiwa hakuna shule inayoitwa MUSOMA. Ikiwezekananipate na contact zao. Natanguliza shukrani.!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.