Kwa wale wanaoishi Scandinavia na Ulaya Magharibi

Kuugua uzeeni mbali na genetics issue ni life style uliyoishi huchangia. Kama ulikua mlevi sugu na komba kuna hatari ya ini kukorofisha na hata saratani. Uvutaji wa sigara ni chachu ya magonjwa ya mapafu.

Mazoezi na kula vizuri huchangia afya bora. Wanasema umri ulionao una uwezo wa kujenga afya yako kwa miaka kumi mbele.
 
Umeridhia kabisa kuletewa Sunday roast na shepherd’s pie kwenye nursing home!
 

Kweli kabisa sister hapo umenena
Nashukuru mimi sina matatizo yoyote kiafya na mda sasa nimevuka 60
Bado napiga kazi na mazoezi nafanya
 
Umeridhia kabisa kuletewa Sunday roast na shepherd’s pie kwenye nursing home!

Hapana sijaridhia na hakuna kitu ninachokikataa kama hicho
Siwezi kwenda kulelewa kwenye nyumba za wazee bali nitaishi kwenye nyumba yangu mwenyewe huku nikila hela zangu na kusaidiwa na watoto wangu waliopo huku kama wakipata mda

Siwategemei hivyo ila wao wameahidi kuniangalia na hili tumeliongelea sana la kutupwa Nursing homes

Bora nikanunue nyumba Spain kwa akiba yangu na wao waje kutembea holiday huku nikila Apples
Maisha ni kujipanga tu ingawa sio ujanja bali ni bahati tu
 
Spain hakuna universal medical care. Wazungu wengi wenye magonjwa yenye kuhitaji tiba ya gharama kama cancer ambao walistaafia Spain wanarudi kwenye nchi zao zenye huduma hii.
 
Spain hakuna universal medical care. Wazungu wengi wenye magonjwa yenye kuhitaji tiba ya gharama kama cancer ambao walistaafia Spain wanarudi kwenye nchi zao zenye huduma hii.

Ni kweli lakini at least bughudha ni ndogo na kuja London ni karibu
Ila kuna wazee wengi nawajua wamestaafu na wanaishi huko na wengine wako Dubai na Istanbul

Ila kama maradhi makubwa yakija hakuna jinsi ni kurudi tu hapa wanapotoa huduma kwa raia
Hatuombei mabaya ila kila kitu kinawezekana

Hata nyumbani huko wazee wetu waliishi maisha ya kawaida tu na kuugua na kufa ni mzunguko wa maisha tu
 
Viongozi wa CCM wanatibiwa na package kubwa kubwa za bima unadhani watawaza nyie mliokubali kuitwa wanyonge miaka 6?

Yaani kinachonishangaza ni watu kuona bima ya afya ni anasa na hata upatikanaji wake ni wa kijanja janja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…