Kwa wale wanaojua ufundi wa Magari vizuri

Mtoto Tajiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2014
Posts
300
Reaction score
173
Ni hv tatizo la gari yenye Engine ya 3L kula oil,Ili kutatua tatizo mambo haya yalifanyika
1:Tulibadilisha ring piston
2:Tulibadilisha gasket
3:Tulibadilisha oil filta
4:Tulibadilisha Air cleaner
LAKINI TATIZO LA GARI KULA OIL LINAENDELEA,kwa wale mafundi magari please
 
Badilisha seals front and rear ok na piston rings za ukweli

 
Nozzle zipo poa.........(nimejaribu tu).........
 
check oil cooler, possibly inapitisha oil, au haifanyi kazi kabisa
 
Nunua half engine hiyo block imeshachoookaaa utabadilisha kila kitu wapi in short ulipaswa kununua engine ingine gharama ya overhaul ni sawa na kununua engine au zaidi labda ufunge spare feki ila km ni zile toyota original bei ziko juu na hizo fake ndo zinapelekea gari kubwia oil
 
Burning oil inazuilika na njia ulidhoorodhesha ila pia kuna wakati inategemea na umri wa gari na aina ya gari, it seems you have Piston Rings or Valve Guide problems......
 
Ama kweli naanza kuamini waliosema, "ukitaka ujue ufundi miliki gari bovu....."
 

Peleka cylinder head kwa engineering compay ikapimwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…