Kwa wale wanaongoja boom

mtz one

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
4,284
Reaction score
1,221
wakuu nimeona nishee na nyinyi taarifa hii kwa ufupi ni kwamba heslb wametuma taarifa vyuoni juu ya kuchelewa kwa boom na kuomba vyuo visogeze mbele tarehe za kufungua na specufic time ni kuanzia mwisho wa mwezi wa 10 na ktk hili UDSM wameshatangaza kusogeza mbele tarehe ya kufungua

NB. KWA WADOGO ZETU MNAOKUJA CHUO MAPEMA MJIANDAE VYA KUTOSHA USIJE UZA UTU WAKO KWA KUKOSA PESA.
 
tuwekee hiyo barua inayoviarifu vyuo kusogeza mbele tarehe ya kufungua
 
Na kwaliokwisha ripot kama SAUT warudi nyumbani?hii heslb vipi?
 
hii ni tetesi au uwakika. Mbona vyuo vyetu avijatangaza
 
hii ni tetesi au uwakika. Mbona vyuo vyetu avijatangaza

udsm awali ilikuwa wafungue ln? na sasa watafungua lini? mambo mengine n ya kiofisi mkuu c lazma kutangaza n mwendo wa directives tuu
 
Na kwaliokwisha ripot kama SAUT warudi nyumbani?hii heslb vipi?

Siku zote SAUT ni wabishi sana mi nimesoma huko wakishikilia jambo hawabadiliki just imagine mwanza wamefungua tarehe 9/9 na bum ni kuanzia 22s octoba ndo mana nikasema wajipange
 
UDSM taarifa zao zote zipo katika website yao ila hadi mda huu bado hawajatoa hilo tangazo kama usemavyo wala hawajatangaza.
 
UDSM taarifa zao zote zipo katika website yao ila hadi mda huu bado hawajatoa hilo tangazo kama usemavyo wala hawajatangaza.

UDSM wanafungua tarehe 22/10 awali ilikuwa 7/10 jmn ubishi hausaidii subirin muone
 
Nafikiri HESLB ina mpango wakuwasaidia ndugu zetu walioko jkt ambao wana makosa kwenye fomu zao. Kama ndivyo Bravo heslb Maana mngewahukumu bila hatia

UDSM wanafungua tarehe 22/10 awali ilikuwa 7/10 jmn ubishi hausaidii subirin muone

Ona sasa kumbe hata hujui kama udsm toka mwanzo wameandika wanafungua tarehe 12 october 2013,dah unaweza kua unabahatisha maana unaccoment vitu ila hujui,sijui tarehe 7/10 uliitoa wapi mkuu.
 
Nafikiri HESLB ina mpango wakuwasaidia ndugu zetu walioko jkt ambao wana makosa kwenye fomu zao. Kama ndivyo Bravo heslb Maana mngewahukumu bila hatia

nasikia ndio sababu yao
 
Ona sasa kumbe hata hujui kama udsm toka mwanzo wameandika wanafungua tarehe 12 october 2013,dah unaweza kua unabahatisha maana unaccoment vitu ila hujui,sijui tarehe 7/10 uliitoa wapi mkuu.

tarehe hyo kwa manjuka au?? acha mshawasha ww udsm wanaanza masomo tarehe 21 october inaonesha una kiherehere sn cha kufka chuo
 
Acha kupoteza watu hayo ni mambo yako binafsi ... Mkuu endelea kulala, maana hii ndoto uliyoota leo, nakuamkia Jamii forums nakuanzia kupost unavyovijua wewe
...
 
hizi taharifa mnazipata wap coz amna sehem yoyote ambayo wametangaza au kuweza hiyo taharifa .sasa muungwana we ni mfanyakazi wa bodi ama ?
 
UDSM wanafungua tarehe 22/10 awali ilikuwa 7/10 jmn ubishi hausaidii subirin muone

Acha utoto we tapeli...udsm freshers wanafungua trh 12 orientation inaanza trh 14 na continuing student wanafungua trh 21...
 
Hii ndio taarifa mpya ninayoijua mie ya bodi.
Dar es Saalam. Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HELSB) imesema kuwa si wanafunzi wote watakaopata mikopo kutokana na ufinyu wa bajeti iliyo pewa bodi hiyo.Mkurugenzi Mkuu Kitengo cha Mawasiliano wa bodi hiyo, Cosmas Mwaisobwa alisema mpango wa kukamilisha taratibu za ugawaji mikopo utakamilika mpaka pale Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) itakapotoa majina kamili ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo mwaka ujao wa masomo.“Tuna bajeti ya Sh306 mil kwa ajili ya kuwakopesha wanafunzi 99,000 kwa mwaka huu na ni wale waliotimiza taratibu,” alisema Mwaisobwa.Wakati huo huo, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa ametoa wito kwa walionufaika na wanaoendelea kunufaika na mikopo ya elimu ya juu, kuwa tayari kulipa mikopo hiyo mara wanapohitmu masomo yao.Kwa mujibu ya hotuba ya Dk Kawambwa iliyotumwa kwenye vyombo vya habari, waziri huyo aliyasema hayo alipokuwa akizungumza katika mahafali ya Nne ya Chuo cha Mt. Joseph Songea yaliyofanyika hivi karibu. Aliwataka wanafunzi walionufaika na wanaoendelea kunufaika na mikopo kuwa tayari kulipa mikopo hiyo mara wanapohitmu masomo yao.

Source:mwananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…