Kwa wale wanaopenda kufanya mapenzi kwa njia zisizo rasmi pitia hapa

Bess

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
547
Reaction score
656
Neno Sex ni 'gender' ikimaanisha jinsia. Sexual act inamaana ya tendo la ndoa lenye kuhusisha jinsia mbili.

Wale wanaoenda zaidi na kufanya ile inaitwa kinyume na maumbile ni kosa kwa Mungu wao na pia miili yao wenyewe.

Imethibitika sex kinyume na maumbile husababisha particles za kwenye 'Anus' kuingia katika maumbile ya mwanaume na baadaye hupelekea blockage ya Urethra(sperm duct and urine duct).

Nadhani mmesikia matukio mengi ya surgery kurekebisha hizi passageways
Hii ya kutumia midomo(mtaani wanaita kuzama ch.u.v.in.i nadhani pia ni kwenda mbali na makusudio muhimu ya sex.

Kuna virus wanaitwa Human Papilloma Virus(HPV) wanaosababisha Cervical Cancer

80% ya wagonjwa wa Cancer Tz ni hawa wa Cervical Cancer inayoathiri Cervix(njia ya uzazi) wa mwanamke.

Jamaa anapozama kwa mwanamke aliyeambukizwa hupelekea kupata hawa Virus ambao huathiri sehemu ya koo(Throat Cancer )

Nadhani mmekutana na cases za Throat Cancer, zipo zipo sana siku hizi.

Hivyo basi 'doing sex' inamaana hasa kutumia sexual organs na sio vinginevyo.
 
Ngoja waje wenyewe watakujibu maswali yako, napita tu nitakuja kusoma comments
 
Hiyo anal sex umesahau madhara kwa mwanamke, kwa sababu mwanaume akitumia mpira hizo particles hazitapita, vipi kuhusu mwanamke
 
Kufa tunakufa mara moja ponda raha za dunia kijana ili ukienda mbinguni usijutie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…