Mr. Masasi
Member
- May 12, 2011
- 53
- 4
sIJUI NIAMINI LIPI!
si kweli....wanaoanza cadet form six na wenye vyeti technician wanaripoti leo....
Kuna wanadiploma ambao wata wainta ivyuu wanatakiwa kwenda zimbabwe ambao wote hao wanasubir mpk mwez wa 6 kwenda monduli.
January hii nafasi zinazotoka...
Usaili utafanyika mwezi september kwa mujibu wa tarifa za ndani za wasemaji wa majeshi hayo. Tarifa hzo za kiinteligencia zinasema wameshindwa kufanya usaili mapema mwezi wa kwanza na pili kutokana nakukosa pesa kwani fungu walilotengea limehamishiwa ktk matumizi mengine. Kwa hyo kwa sasa wanaomba mungu budget mwezi wa 6 ifike ili waweze kuidhinishiwa fungu lingine kwa ajili ya shughuli hyo. Source ni Jarida la majeshi la kila mwisho wa mwaka
si kweli....wanaoanza cadet form six na wenye vyeti technician wanaripoti leo....
Kuna wanadiploma ambao wata wainta ivyuu wanatakiwa kwenda zimbabwe ambao wote hao wanasubir mpk mwez wa 6 kwenda monduli.
January hii nafasi zinazotoka...
Kuanza ukadeti,maelezo yako cjayaelewa,hao form 6 wanaripoti wapi?
huyu jamaa amepotosha watu...septemba kote huko na sasa ni Januar...
Alafu akasema Unanukia...
Hakika mkuu kapotosha haya maelezo yake kwa kiwango cha hali ya juu na maelezo sahii ndio hayo
Good maelezo kutoka kwa Zubeda,lakn wadau mnaotaka kujoin huko nami ni mmoja wao,na leo nmeenda makao makuu Jwtz Upanga kutaka kujua je ni lini degree holder wataanza usaili? Nmeelezwa kua usail kwa degree utaanza mwezi huu na leo kuna watu wameenda Monduli kwa Short courses then wakimaliza hyo short cozi ndio watu wa degree wataenda,so tumeongea mengi na nafikiri ntakua sehemu ya hao vijana
Hakuna applictn hapo,hao wakitangaza nafasi wanasema na siku ya usaili ni wewe na vyeti vyako...na ndo usaili unakuwa umeanza hvyo hatua kwa hatua.....huo usaili wa watu wa degree utakaoanza january ni kuwa wamishaaply tayari au?
huo usaili wa watu wa degree utakaoanza january ni kuwa wamishaaply tayari au?
thanx nimewapata, so hizo ni jwtz vp polisi au uhamiaji kuna mwenye news zozote