Linyakalumbi
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 263
- 107
ndani ya jeshi.walikuwa na usaili wa afsa kadeti na leo ndo wanatakiwa kuanza kurepot huko monduli kwao...kuna usaili mwngne...kwa wale wote wenye C ya hesabu na phizikia..wanatakiwa kupelekwa zimbabwe kujifunza ufundi wa ndege..na hi koz ipo chini ya kikosi..mwezi wa sita wanatakiwa monduli kufanya mafunzo ya uafsa...wakimaliza wanachukua raia...na ikumbukwe hao diploma,certfkate na form six walishapewa vyeo na sasa ni kulipa tu.
Haya septemba siamini kbs...
Du C tu haaaaaa ya physics na Advance Maths haaaaaaaa kwa sie tuliopata AAA tunaenda bila interview
na sie mangwini itakuaje?
Mangwini mtakua wasemaji kama alivyo kova
Usijali,utaenda kiwira pazurplease naomba unitumie PM zikitangazwa nahitaji kwenda magereza:A S-coffee:
Wakuu,hizo nafasi za JWTZ kwa Graduates lini jamani?Nataka kwenda huko miye........