hata mimi najua hivyo lakini tatizo hayo ya kijani hayapo sokoni, yamejaa haya ya 'dizaini' hii tuYale ya kijani kitupu kwa uzoefu wangu ndo naona mazr....
hata mimi najua hivyo lakini tatizo hayo ya kijani hayapo sokoni, yamejaa haya ya 'dizaini' hii tu
wanasema matikiti haya ni sawa na kuku wa kizungu coz mbegu zake sio asili wamefanyia modification kwahiyo hayana faida zilizomo kwenye yale ya asiliHaya matikiti yote ni sawa tu, yale ya kienyeji ambayo kwa sasa hayapatikani ndio yalikuwa yanafaa ila hayo yote ni sawa tu sawa sawa ukauliza lg na samsung tv ipi bora