proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Mazoezi ni muhimu kwa afya haijalishi ni ya aina gani mfano Mimi napenda kufanya mazoezi dakika 15 asubuhi na JIONI hasa kupiga pushup, kuruka kamba haya mazoezi hayahitaji eneo kubwa Sana hata chumbani asikuambie mtu mazoezi madogo madogo ni mazuri kwa afya.
Karibu tupe ya kwako unayofanya kwa ajili ya kuchangamsha mwili.
Karibu tupe ya kwako unayofanya kwa ajili ya kuchangamsha mwili.