Kwa wale wanaopenda mazoezi ya viungo karibuni humu

proton pump

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
6,814
Reaction score
10,104
Mazoezi ni muhimu kwa afya haijalishi ni ya aina gani mfano Mimi napenda kufanya mazoezi dakika 15 asubuhi na JIONI hasa kupiga pushup, kuruka kamba haya mazoezi hayahitaji eneo kubwa Sana hata chumbani asikuambie mtu mazoezi madogo madogo ni mazuri kwa afya.

Karibu tupe ya kwako unayofanya kwa ajili ya kuchangamsha mwili.
 
Karibuni kwenye mazoezi mwaka mpya huu
 
Kichura chura ni mazoezi? Ina faida gani?
 

mkuu naomba muongozo wa Pushup, natikiwa nifike kiwango gani ili niweze kuhesabika tayari nipo kwenye mwenendo mzuri wa hayo mazoezi ya pushup.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…