Kwa wale wanaopotosha kuhusu Kuanza chuo 2013/2014

Gratius d4m9

Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
62
Reaction score
24
Kumekuwapo na uvumi kuwa vyuo vitaanza mwezi january au february taarifa ambazo si sahihi,nasema hivyo kwa sababu hivi karibuni chuo cha Mzumbe wametoa tangazo kwenye website yao kuwa wataanza kupokea wanafunzi kuanzia tarehe 14 Oct 2013, for more info tembelea website yao, nawasilisha.
 
Wewe ndio haujaelewa vizuri wanaotakiwa kuripoti hiyo tarehe ni wale wa undergraduate ambao ni diploma & certificate ambao majina ya waliochaguliwa yalitolewa ivi karibuni
 
Hapo kuna mkangamano wa taarifaa hiii tusubiri kupokea taarifa kutoka tcu....!!
 
wewe mtoa mada unaelewaje hili:
nakuu'''''''VIJANA WA KIDATO CHA SITA 2013 AMBAO MAJINA YAO HAYAKUORODHESHWA KATIKA TOVUTI HIYO, WATAJIUNGA NA JKT AWAMU YA TATU MWEZI SEPTEMBA 2013."""""mwisho wa kunukuu
source: Jeshi la Kujenga Taifa
 
Mtoa maada alikua ajaelewa vizuri taharifa iliyopo kwenye tovuti ya chuo cha mzumbe
 
Sasa jamani! Hivi tcu na jkt, tumuamini nani? Mara tcu wanasema chuo mwez wa 9, jkt nao wanatuhitaji mwez wa 9, sasa tueleweje?
 
mtoa mada tangazo si lazima liwaguse wanaotaka kuanza first year ni la cert & diploma.
 
Siend jesh wala nin, acha ajira ziwe ngumu tuu
 
Sasa jamani! Hivi tcu na jkt, tumuamini nani? Mara tcu wanasema chuo mwez wa 9, jkt nao wanatuhitaji mwez wa 9, sasa tueleweje?

tcu wametangaza lini chuo mwezi wa tisa! au umekalirii nn
 
Wanaoenda diploma sio form four tu hata form six wengi tu wanaenda, hasa kwenye hiv vyuo vikuu. Hivyo Tcu ndio ina jibu
 
Siend jesh wala nin, acha ajira ziwe ngumu tuu

Wanazngua sana hawana sababu yoyote ya kutupeleka huko hiyo bajet ni bora wangeongeza kwa upande wa bodi ya mikopo ili wanafunz watakapo ingia vyuoni wapate loans zenye % za kueleweka
 
Wewe ndio haujaelewa vizuri wanaotakiwa kuripoti hiyo tarehe ni wale wa undergraduate ambao ni diploma & certificate ambao majina ya waliochaguliwa yalitolewa ivi karibuni

hivi bachelor sio undergraduate?
 
Wanazngua sana hawana sababu yoyote ya kutupeleka huko hiyo bajet ni bora wangeongeza kwa upande wa bodi ya mikopo ili wanafunz watakapo ingia vyuoni wapate loans zenye % za kueleweka

Hii nimeipenda kwakwerii.. Lakin afande unajua kule nako muhimu coz chokochoko za hivi vinchi vidogo vya jirani zimezid ndo maana Mjomba Anataka vijana wote tue ngangari Ili wakijikanyaga tu Wameisha ref Malawi & Rwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…