Kwa wale wanaosoma Kiswahili wa vyuo vikuu, nisaidieni hili swali

Kwa wale wanaosoma Kiswahili wa vyuo vikuu, nisaidieni hili swali

aman abdalah

Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
53
Reaction score
4
Je! ni faida zipi wanazozipata wanasaikografia,walimu, wanafunzi na matabibu matamshi pale wanapojifunza taaluma ya Fonetiki inayohusiana na alama za kifonetiki ?
 
Rejea umuhimu wa fonetiki kwa taaluma au lugha yoyote ile..!!
 
Back
Top Bottom