kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,677
Pitapita yangu leo nimekutana na matangazo mawili yanayofanana:
La kwanza likiwa limeandikwa hivi...
"SUPER MAPENZI MVUTO - ni dawa ya mvuto wa mapenzi, humvuta mume, mke, mchumba au mpenzi aliyekuacha atakurudia ndani ya masaa (4) tu, na atatimiza ahadi zote. Mvuto wa biashara, kusafisha nyota, Okoa ndoa yako, Mguu wa bia, Pete ya bahati. Pata utajiri wa haraka bila masharti.
Simu 07174132**
simu 07567698**
simu 07862486**
===
tangazo la pili:
"mvuto wa kimapenzi SHEHE ***
Ana uwezo mkubwa wa kumvuta na kumrudisha mumeo, mkeo ama mpenzi wako ambaye amekuacha ama yupo mbali nawe au akutimizii shida zako, huvutwa na kurejeshwa kwa mda mchache na atamfunga, kumtuliza asitoke nje ya ndoa.
Simu 07572133**
simu 07172942**
===
upandeni kulikuwepo watoto wa kike wawili kati ya miaka 15 na 18 wako busy na kunakili namba za simu zilizoandikwa kwenye matangazo hayo.
... Moyoni nimejiuliza mambo mengi:
1. Je wanataka kuwatafuta hao waganga?
2. Je hili iweje kwa watoto wadogo kama hao?
3. Je nini kinachowasukuma mpaka wakapata ujasiri wa kuwatafuta waganga hao, n.k
My take:
kunakipindi serikali ilizuia matangazo yote ya waganga wa kienyeji' je ilikuwa nguvu ya soda? au ndiyo hivyo mtindo wa kisasa wa serikali yetu kwa kufanyakazi baada ya matukio?