kwa wale wanaotaka kwenda kusoma india.....read!!

kwa wale wanaotaka kwenda kusoma india.....read!!

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,188
Reaction score
6,244
Habari ndugu, kwa wale wanaotaka kwenda kusoma India katika level za diploma, degree na hata master napenda kiwajuilisha kuwa nafanyia Admission bureeee kabisa bila ya charges zozote. Kama unahitaji kwenda kusoma india na kufanyiwa admission please nitumie pm.
 
kama pm itakuwa interview basi nmefeli, kama siyo pm ni nn?
 
Back
Top Bottom