Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,557
- 1,787
Habari za hapa,
Kwa sisi ambao hatuja zoea sana bahari tukisafiri na boti tunakuwa kwenye hali ngumu sana mara kutapika , kichefuchefu n.k .
Wajuvi wanipe maarifa naweza fanya nini au kutumia nini kuondoa au kupunguza hali hiyo.
Alafu niligundua hasa wakati wa kurudi bara ndio balaa linakuwa baya sana [emoji1]