Kwa Wale wanasayansi tupia ujuzi wako

Kwa Wale wanasayansi tupia ujuzi wako

ZNdoto

Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
19
Reaction score
1
Msaada wakuu, nina ndugu yangu amepata division 4 ya point 19, anataka kusoma diploma ya medical doctor .naomba ushauri wa chuo ambacho kinatoa course hiyo, ukiwa unajua na ada yake itakuwa imetulia.
 
Sikujua kua kazi za mwanasayansi ni kujua orodha ya vyuo na mavyeti wanayotoa, kweli hiki ni kizazi cha viazi/
 
Toba mimi nafa huku elimu tumeitupa kule ngoja ijeiokotwe na wakoloni toba
 
Back
Top Bottom