Z ZNdoto Member Joined Feb 23, 2013 Posts 19 Reaction score 1 Jun 12, 2013 #1 Msaada wakuu, nina ndugu yangu amepata division 4 ya point 19, anataka kusoma diploma ya medical doctor .naomba ushauri wa chuo ambacho kinatoa course hiyo, ukiwa unajua na ada yake itakuwa imetulia.
Msaada wakuu, nina ndugu yangu amepata division 4 ya point 19, anataka kusoma diploma ya medical doctor .naomba ushauri wa chuo ambacho kinatoa course hiyo, ukiwa unajua na ada yake itakuwa imetulia.
Duniaze Senior Member Joined Feb 27, 2013 Posts 148 Reaction score 23 Jun 12, 2013 #2 Visit www.Moh.Co.Com,full inf,Available.Ok!
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,215 Reaction score 3,076 Jun 12, 2013 #3 Sikujua kua kazi za mwanasayansi ni kujua orodha ya vyuo na mavyeti wanayotoa, kweli hiki ni kizazi cha viazi/
Sikujua kua kazi za mwanasayansi ni kujua orodha ya vyuo na mavyeti wanayotoa, kweli hiki ni kizazi cha viazi/
K kornelio Member Joined May 26, 2013 Posts 61 Reaction score 1 Jun 13, 2013 #4 Toba mimi nafa huku elimu tumeitupa kule ngoja ijeiokotwe na wakoloni toba
S spleen JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 4,079 Reaction score 6,788 Jun 14, 2013 #5 Badilisha heading wewe