Binafsi sijajiunga na NHIF so nalipa hiyo hela ya medical then mchezo kwisja
Xpéndablè;4682479 said:thanx mkuu.. Xaxa mkuu kp bora kulipa Medcal Capitation au kujiunga na NHIF? Je, iwapo nitajiunga na NHIF je watanilazmisha nilipie na hyo Medcal Captation fee?
Hiyo medical capitation ni kwa miaka 3 na NHIF ni 5400 kwa mwezi, kama una Kadi ya NHIF haina shida, kama hauna unataka kujiunga unaona kipi bora??
but nimesikia pipo wanasema zile direct cost zinalipwa zote;;;;;;;;;je kunaukwelii wowote;;thn jamani accomidation kwamtu ambae unamkopo lazima ulipe pia b4 30 septmbr'''