Zahera amekaa na timu muda mchache sana hivyo itamchukua muda sana kuweza kupata kikosi cha kwanza cha uhakika. Na itakuwa ni bahati endapo yanga watawatoa wabotswana mana wachezaji bado sana kuelewana. Ila kwa wachezaji waliosajiliwa na wale wazamani waliopo uwezekano wa kutengeneza timu tishio upo Mkubwa sana.