Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Tukianza na wewe mkuu ,mada gani haswaa huwa zinakuvutia humu jukwaani.Shukran san
Huyu ni celebrity wangu ninaye mkubaliSasa hako katumia ngada kanahusikaje!
Au ndio haki kanachangamsha jukwaa?
Anahusika vipi na mada yako ya kulirudisha jukwaa kuwa la moto?Huyu ni celebrity wangu ninaye mkubali
Na wewe kama vipi tupia wa kwako unayemkubali.
Huyu ni celebrity wangu ninaye mkubali
Na wewe kama vipi tupia wa kwako unayemkubali.
soma vizuri mada mkuuAnahusika vipi na mada yako ya kulirudisha jukwaa kuwa la moto?
Nani huyu mkuu ?
Sawa mkuu,Hivi huyo Dogo ameshaachana na youngkiller(msodoki)? [Emoji23] [emoji23]soma vizuri mada mkuu
Nimesema tutaje celebrity ambao tungependa tuwazungumzie kwa undani na mimi kwa upande wangu celebrity wangu ninayempenda mada zake ndiye huyo ,sasa ugumu unakuja wapi tena mkuu.
Zile zilikuwa ni tetesi tu hazina ukweli wowote.Sawa mkuu,Hivi huyo Dogo ameshaachana na youngkiller(msodoki)? [Emoji23] [emoji23]
Wala simjui ila ndo celebrity wanguNani huyu mkuu ?
Ha ha ha ha ha haaaa.Wala simjui ila ndo celebrity wangu
Mbon wanicheka ten[emoji31] [emoji31]Ha ha ha ha ha haaaa.
Sura sio ngeniWala simjui ila ndo celebrity wangu
Mkuu naeza nikajua huyo mtot wazazi wake ni wapi/nani na Tunda anasoma au vipii coz naonaga bata tuHuyu ni celebrity wangu ninaye mkubali
Na wewe kama vipi tupia wa kwako unayemkubali.
ata jina LA utani humjui...aisee[emoji3] [emoji111]Wala simjui ila ndo celebrity wangu