Kwa wale wapenzi wa celebrities forum tu

Tujadili suala la Shamsa Ford kupigwa ngumi ya uso.
 
Wew hance mbon umeniacha njia panda jaman
 
oyoooo
karibu bro, jukwaa lilikuwa lime nuna mwanangu asa mi sjui celebrity gan namkubali mweer!!
 
anafanyaga vitu gan

maana sijawahi kumwona huyu toka nazaliwa
Mie hata najua bor hance anamjua na kanambia atamdadavua hapa jamn hance njoo bas unimalize kiu yangu kuhus huyo mrembo
 
Mie hata najua bor hance anamjua na kanambia atamdadavua hapa jamn hance njoo bas unimalize kiu yangu kuhus huyo mrembo
hahahaha
wewe punguza kumpenda mtu uso mjua.
na jina haja kwambia!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…