Kwa wale wapenzi wa football pita hapa

katib mkoa

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
1,574
Reaction score
2,161
Tupo wengi humu tunaopenda huu mchezo nimeona si vibaya kujuzana hasa katika maisha yetu ni mechi ipi uliowahi shuhudia na hutokaa usahau na kitu gani hasa au kipengele gani kina sababisha usisahau mechi nzima.

Binafsi mimi mechi ya barca vs psg 6-5 pale ambapo neymar anapiga foul nakuja kushtuka kashafunga.
Hii mechi sitosahau
 
Pumba tu. Sijaona point yoyote hapa!!!
Andikeni nyuzi zenye mashiko. Kuna mambo mengi ya msingi kujadili.
 
Pumba tu. Sijaona point yoyote hapa!!!
Andikeni nyuzi zenye mashiko. Kuna mambo mengi ya msingi kujadili.
Yataje hayo mambo yako mengi dada yangu tuyajadili

Au kama una msaada wa kifedha sema tu sister nikusaidie
 
Kulipwa nini... Mshahara ama??? Hakuna mshahara, kumbuka ule ni utumishi.
Nimesomeshwa na kanisa, nimeishi nyumba ya parokia, kula, kuvaa, matibabu na usafiri vyote nalipiwa na kanisa.
Dah, Mi nilijua wanalipwa

Ila pongezi sana kwa kuiona Khaki na kuifuata.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzuka ngani mkuu, kumbe ana mzuka???

Huyo mtu mfatilie post zake utaelewa ninachokiongea. Kuna siku aliwacharua wagalatia humu mpaka walikoma [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…