Ndio kama hivyo siku ya jana tumeshuhudia draw ya ratiba ya robo fainali ya michuano hiyo mikali, kwa upande wangu nimetokea kuvutiwa na huu mtanange kati ya stimu tosha watoto wa mabibo na keko furniture, maana baada ya keko furniture kuingia robo fainali walisikika wakiomba kukutana na hawa stimu tosha.
Mshabiki kindakindaki wa Goms united. karibuni