Kwa wale wapiga Kidaku

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,404
Salaaam wakuuu

Poleni Na majukumu Yakutwa
Nimeanzisha Uzi huu maalumu

Tukutane hapa wale woote tulio kuwa tuna piga madufu kuamsha watu kula daku

Maarufu wapiga daku Najua wengi wao nitawakumbusha mbaali sanaa lakini

Ndio nyakati zenyewe zakutuelezea
Raha na Faida na shida za kuamsha watu usiku kwa kupita kila nyumba

Tukiwa na madufu kuhamasisha watu kuamka Kula daku

Sitasahau Mimi na jopo langu Tulienda kupiga daku Kwenye Nyumba ya don mmoja

Iletunaanza kuungurumisha dufuu tu Alitufungulia mbwa [emoji190] [emoji190] [emoji190]
Zilitutoa mkuku Kiasi kwamba

Kila mmoja alipita kona yake Nakukutana kichochoro chapili

Nakumbuka nilikuwa na Miaka 13 kipindi hicho

Embu Na wewe tupe japo ubuyu kidogo

Enzi hizo kwa walio kuwa wakipiga daku kuamsha watu kula daku kwajili Ya mfungo wasiku Inayo fuata Ilikuaje
 
Pole kwa yaliyokukuta mkuu enzi hizo sio mbaya ulikuwa unatenda kazi ya Dini kwa hiyo sio mbaya sana!
 
aisee sisi tulipotea siku moja maeneo ya kiwalani kisa pesa ilitunogea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…