Kwa wale wasio na mvuto wa kimapenzi tu

Kwa wale wasio na mvuto wa kimapenzi tu

asante mwaya
mi ntaenda manake dahh mwaka sasa ata dada habari sipat..thaxx dahh!!!!!
 
Ha ha ha ha!
Kwa wale tunaotaka kuupunguza mvuto je?
 
Yeye mwentewe mbona hajifanyii mvuto mpaka aweke bango?
 
Ha ha ha Wakuu mbona kimaandishi na ki_avatar mnaonekana mna mvuto?
 
Mkienda tu mjue mmeumia na kwa wanawake mtaishia kuwa chakula ya mganga.
 
mwaka sasa ata dada habari sipat..thaxx dahh!!!!!

dada habari....... Angalao nikuepushe na mambo hayo unaweza kuta unamalizia senti zako kutafuta habari yako na kuishia kwenye maradhi!!!!!!
 
Hayo mambo sio ya kufuatilizia sana,hakuna kitu kule,unaweza pewa dawa ukampenda dada yako halafu ikawa balaaa,hayo mabango ukiyaona ni kuyapotezaea tu.
 
kwan vbaya ..?mganga nae asi anataka kula jaman..
Bahati nzuri wamejaaliwa kula vizuri mpaka wanaweka na ujauzito juu huku ukiwa mtumwa wa mapenzi kwao kila watakapotaka utapeleka tu chakula.
 
mmh utanipitia shost twende wote manake mmmh ...sisalimiw mimi...

Rose namimi nipitie twende???bora we husalimiwi lakini wanakuangalia mi hata kuangaliwa hawaniangalii????:Cry::Cry:
Asante Nguli!
 
Rose namimi nipitie twende???bora we husalimiwi lakini wanakuangalia mi hata kuangaliwa hawaniangalii????:Cry::Cry:
Asante Nguli!
Angalia sana usije kujikuta unaenda kuangaliwa na wachawi makaburini,waganga hawa si watu wa kuwakimbilia hata kidogo.
 
Rose namimi nipitie twende???bora we husalimiwi lakini wanakuangalia mi hata kuangaliwa hawaniangalii????:Cry::Cry:
Asante Nguli!

Ha ha ha ha ukiona mwezi umepita hujaangaliwa au hata kuchokozwa na makondakta au mateja wa mji kama wa dar kweli utakuwa una nuksi
kama mkuu alivyoeleza hapa chini

Ukitaka kupunguza mvuto pia nadhani dawa wanayo,wanakupiga kitu kinaitwa NUKSI kila sehemu utakataliwa
 
Back
Top Bottom