umeona ennh???Yeye mwentewe mbona hajifanyii mvuto mpaka aweke bango?
Ha ha ha Wakuu mbona kimaandishi na ki_avatar mnaonekana mna mvuto?
Mkienda tu mjue mmeumia na kwa wanawake mtaishia kuwa chakula ya mganga.
Mie nitakwenda kabisa maana
Ha ha ha ha!
Kwa wale tunaotaka kuupunguza mvuto je?
mwaka sasa ata dada habari sipat..thaxx dahh!!!!!
Bahati nzuri wamejaaliwa kula vizuri mpaka wanaweka na ujauzito juu huku ukiwa mtumwa wa mapenzi kwao kila watakapotaka utapeleka tu chakula.kwan vbaya ..?mganga nae asi anataka kula jaman..
mmh utanipitia shost twende wote manake mmmh ...sisalimiw mimi...
Ukitaka kupunguza mvuto pia nadhani dawa wanayo,wanakupiga kitu kinaitwa NUKSI kila sehemu utakataliwaHa ha ha ha!
Kwa wale tunaotaka kuupunguza mvuto je?
Angalia sana usije kujikuta unaenda kuangaliwa na wachawi makaburini,waganga hawa si watu wa kuwakimbilia hata kidogo.Rose namimi nipitie twende???bora we husalimiwi lakini wanakuangalia mi hata kuangaliwa hawaniangalii????:Cry::Cry:
Asante Nguli!
Rose namimi nipitie twende???bora we husalimiwi lakini wanakuangalia mi hata kuangaliwa hawaniangalii????:Cry::Cry:
Asante Nguli!
Ukitaka kupunguza mvuto pia nadhani dawa wanayo,wanakupiga kitu kinaitwa NUKSI kila sehemu utakataliwa