Kwa wale wasiyofahamu, Jay Melody na Z Anto ni ndugu wa damu kabisa

Aaah sio kweli hawana undugu wowote wamefanana tu hata majina yao hayafanani pia huo undugu wa damu uko wapi

Watu wanaingizana chaka sana mitandaoni ,mtu amekaa ghetto na bando lake la mia tano anaanza kupost utumbo utumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…