kama una-deadline ya report, hiyo tofauti tupia huko kwenye suspense, utaitafuta next period ukiwa na muda.
but kama ni swali unafanya na linatakiwa li-balance, hapo bana chakarika tu, hakunaga maksi za suspence a/c kwa swali ambalo lina-balance
mkuu,cjakuelewa,hapo ninayoigawa ni namba ipi?
Tofauti kati ya DR and CR sides kwa mfano ili kubalance kila upande ulitakiwa uwe na $1,000 lakini Dr side ina $1,200 na Cr side ina $800. Hiyo tofauti ya $400 igawe kwa mbili kisha uziangalie entries zako unaweza kuigundua.

Hakikisha unajua vitu gani vinastahili kuwemo kwenye TB hasa watu wengi wanajichanganya sana kwenye inclusion of Corporate tax.
Lakini pia jiridhishe opening balance zote za audited Financial statement mwaka uliopita (nazungumzia upande wa statement of Financial Position) umeziweka kwenye TB.
Naamini ukijumlisha na ushauri wa wadau hapo juu lazima kitu i tally!
dah!acha 2 mkuu,wengne a/c tumekuja kukutana nayo chuo kikuu so ni full kuona nyota.vp nyie hamjafunga?
ok,lakini mambo yanaenda?