vuta subira ngoja waje mkuu!
Ushauri wenu pleas!
Kwanin asiende advance!?? Mbona matokeo yake mazur!!
Kuna kijana hapa chumbageni kanifata ananiuliza kama anaweza kusoma diploma ya clinical officer. Me mgeni kidogo kwan sijapitia mfumo huo. Matokeo yake mapya ni
PHYSICS-C
CHEMISTRY-D
BIOLOGY-B
HISTORY-C
CIVICS-C
ENGLISH-C
GEOGRAPH-D
MATH-D
Ana division 3 ya points 22. Kwa wanaojua ushauri pleas!
Mkuu hiyo chemia ndio imearibu.
Mkuu hiyo chemia ndio imearibu.
huyo akasome diploma ya nursing, atatoka
Mkuu hiyo chemia ndio imearibu.
Mwambie aende advance,aachane na shortcut za maisha.
hata hiyo anaweza kuchaguliwa , nadhani wanachukua mwisho div 3,yy anataka clinical officer
Huyu mtu akimaliza akifanikiwa kumaliza Diploma yake ya mambo ya clinical anakuwa dili kulipo mtu wa advance(form six)Mwambie aende advance,aachane na shortcut za maisha.
Huyu mtu akimaliza akifanikiwa kumaliza Diploma yake ya mambo ya clinical anakuwa dili kulipo mtu wa advance(form six)
kwanza anakuwa tayari na proffessional yake , uhakika wa ajira . na pia anaweza kwenda kupiga MD kiulaini tena kwake masomo yanakuwa sio mapya sana. Form Six is not a professional na ajira kwa form six leaver sio za uhakika. Huku 'serikalini kwa mfano siku hizi hakuna ajira za form six leaver ukiondoa kwenye vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Siku hizi hata uhudumu ,mapokezi, ulinzi,udereva . lazima uwe na cheti cha profession kutoka veta au vyuo vingine vinavyotambuliwa na serikali.
Namshauri huo mdogo wako akapige hiyo Diploma yake. Akimaliza tu atakuwa na uhakika wa ajira na kusomeshwa elimu za juu zaidi. I am talking from the kitchen/ horses mouth