Godwin M Mroso
Member
- May 25, 2013
- 90
- 32
Yap atakubaliwa matokeo yake si mabaya sana nimeona ana Biology c na physics c chemistry d na math d ,kwa pass hizo ana qualifysasa mkuu kwa matokeo yake hayo watamkubalia kweli? Hebu yaangalie tena afu uniambie kama kuna uwezekano!
Yap atakubaliwa matokeo yake si mabaya sana nimeona ana Biology c na physics c chemistry d na math d ,kwa pass hizo ana qualify
Mwambie aache papara aende A-level, PCB anaweza kupata kama sio government hata private.
hata mimi nimemshauri! Kwan hata mimi nimepitia mfumo huo wa a level! Sema yeya anaogopa kupoteza muda.
Kwanin asiende advance!?? Mbona matokeo yake mazur!!