dogodogo 2
Senior Member
- Jul 15, 2017
- 114
- 61
Wa salaam, naomben mnisaidie jinsi ya kuweka verication wakati una log in jf katika opera min browser.
Post sent using JamiiForums mobile app
Post sent using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu mkuu, uthibitishoVerication ni nini hiyo mkuu?
Hunipi msaada mkuu?Joseverest anakuja
wewe unakwama wapi...embu weka screenshotDuu mkuu, uthibitisho
Post sent using JamiiForums mobile app
wewe unakwama wapi...embu weka screenshot
Apo kwenye verication![]()
Post sent using JamiiForums mobile app
mmh, kwani ukiweka username na password inagoma?Apo kwenye verication
Post sent using JamiiForums mobile app
Inagoma mpaka uweke verificationmmh, kwani ukiweka username na password inagoma?
Verication ni nini hiyo mkuu?
Joseverest anakuja
au wanataka ukahakikishe kule kwenye email mkuu...embu kaicheki hiyo email yako inbox message kutoka JF kwanzaInagoma mpaka uweke verification
Post sent using JamiiForums mobile app