Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Kuna vitu viligunduliwa na mababu zetu na sisi tunavichukulia kawaida sana Ila ukivichunguza kiundani utagundua mengi yaliojificha.Chunguza picha hii na utuambie unaona nini katika ususi huo.Binafsi nimeona mambo kadhaa nitayaeleza baada ya michango,nyule mwenye interest anaweza enda unda ntakachokieleza.