Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,158
Kaka hii heshabu tueleze vzri ! How do we apply!!Kwa mfano urefu wako ni cm 165 na uzito wa 75 165/75=2.2
Mimi imekuja 2.3,means ni mbaya??Kwa mfano urefu wako ni cm 165 na uzito wa 75 165/75=2.2
Pima urefu wako katia cm ugawanye na kilo gram zako.Kaka hii heshabu tueleze vzri ! How do we apply!!
Ni nzuri sanaMimi imekuja 2.3,means ni mbaya??
Mkuu asante sana kwa hii formular, hii hesabu ilinipiga chenga sasa nimekuwa mtaalamu. Huko duniani watakoma.Urefu wako katika mita (mfano sm 180 =m1.8) .sasa chukua urefu zidisha kwa yenyewe(1.80×1.80= 3.24) Hatua ya mwisho chukua uzito wako ni kg 80÷3.24= 25 . Hiyo 25 ni BMI (body mass index) .maana yake ukiwa na urefu Wa sm 180 hutakiwi kuwa na uzito zaidi ya kg 80 kwa Afya bora .ninavyojua ukiwa na uzito chini ya hapo haina labda kamaunaumwa. BMI inashauriwa iwe chini 25 na isiwe chini 23 kwa Afya. wenye wembamba Wa asili hawadhuriki. Hushauriwi kujikondesha chini ya BMI 23
Mi sijaelewa[emoji22] chochoteUrefu wako katika mita (mfano sm 180 =m1.8) .sasa chukua urefu zidisha kwa yenyewe(1.80×1.80= 3.24) Hatua ya mwisho chukua uzito wako ni kg 80÷3.24= 25 . Hiyo 25 ni BMI (body mass index) .maana yake ukiwa na urefu Wa sm 180 hutakiwi kuwa na uzito zaidi ya kg 80 kwa Afya bora .ninavyojua ukiwa na uzito chini ya hapo haina labda kamaunaumwa. BMI inashauriwa iwe chini 25 na isiwe chini 23 kwa Afya. wenye wembamba Wa asili hawadhuriki. Hushauriwi kujikondesha chini ya BMI 23
Body Max IndexMi sijaelewa[emoji22] chochote
Hio 25 BMI ndio nini sasa? Inakuwaje mpaka kilo ziwe 80?
Yani tu umenitindinganya.
Mkuu mi binafsi niwekee hesabu tu kama ya (find X) ntakuelewa vyema
Kwa kiswahiliBody Max Index
Toa mfano mwinge mfano mtu ana kilo 70kg , pia urefu wake ni 185cmUrefu wako katika mita (mfano sm 180 =m1.8) .sasa chukua urefu zidisha kwa yenyewe(1.80×1.80= 3.24) Hatua ya mwisho chukua uzito wako ni kg 80÷3.24= 25 . Hiyo 25 ni BMI (body mass index) .maana yake ukiwa na urefu Wa sm 180 hutakiwi kuwa na uzito zaidi ya kg 80 kwa Afya bora .ninavyojua ukiwa na uzito chini ya hapo haina labda kamaunaumwa. BMI inashauriwa iwe chini 25 na isiwe chini 23 kwa Afya. wenye wembamba Wa asili hawadhuriki. Hushauriwi kujikondesha chini ya BMI 23
Mkuu hiyo hesabu upo sawa ila hizo cut off points hazipo sawaUrefu wako katika mita (mfano sm 180 =m1.8) .sasa chukua urefu zidisha kwa yenyewe(1.80×1.80= 3.24) Hatua ya mwisho chukua uzito wako ni kg 80÷3.24= 25 . Hiyo 25 ni BMI (body mass index) .maana yake ukiwa na urefu Wa sm 180 hutakiwi kuwa na uzito zaidi ya kg 80 kwa Afya bora .ninavyojua ukiwa na uzito chini ya hapo haina labda kamaunaumwa. BMI inashauriwa iwe chini 25 na isiwe chini 23 kwa Afya. wenye wembamba Wa asili hawadhuriki. Hushauriwi kujikondesha chini ya BMI 23
Upo kwenye afya inayofaa..Toa mfano mwinge mfano mtu ana kilo 70kg , pia urefu wake ni 185cm
1.85*1.85=3.4225
70/3.4225=20.453
Hii ina maana gan!!
Yaa chini ya 18. Uko unde weightUpo kwenye afya inayofaa..
BMI- uwiano wa uzito na urefu
-kwa watu wazima ukitoa
wajawazito
Reference
BMI= weight in kg÷height (m square)
18.5-24.9.....normal
25-29.9......overweight
>30........ obese/kiriba tumbo
Kwa maana ya kuwa urefu wako na uzito wako vinatakiwa viendane
Hii uko sawaToa mfano mwinge mfano mtu ana kilo 70kg , pia urefu wake ni 185cm
1.85*1.85=3.4225
70/3.4225=20.453
Hii ina maana gan!!
sasa kwan unaangalia factors zipHii uko sawa
It’s above 18 and less than 25sasa kwan unaangalia factors zip