Kwa wale wenye magonjwa tabia, kutana na mtaalam huyu upate kumaliza tatizo lako kabisa

Kwa wale wenye magonjwa tabia, kutana na mtaalam huyu upate kumaliza tatizo lako kabisa

Damalu

Senior Member
Joined
Jul 26, 2009
Posts
120
Reaction score
63
[FONT=Verdana, Arial, Tahoma, Calibri, Geneva, sans-serif]Kutana na mtaalamu anayetibu kisukari kwa kwenda kuondoa tatizo kwenye KONGOSHO ambalo linakuwa limepatwa na tatizo la kushindwa kutengeneza insulin iliyo na kazi ya kurekebisha sukari kwa kiwango kinachotakiwa katika damu. Dawa hizi zinazotengezwa na nafaka, mimea na viumbe vya baharini ambavyo husaidia katika kuondoa mafuta yaliyomo kwenye damu na kulifanya kongosho kufanya kazi yake kama kawaida na kwa urahisi zaidi.[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Tahoma, Calibri, Geneva, sans-serif]
[/FONT]

[FONT=Verdana, Arial, Tahoma, Calibri, Geneva, sans-serif]Pia dawa hizi zinasaidia sana watu wenye matatizo ya moyo kwani zinaenda kusafisha mirija yote inayopitisha damu haswa iliyoziba kwasababu ya mwili kushindwa kuondoa uchafu ipasavyo kutokana na aina ya vyakula tunavyokula hivi leo na kuusaidia moyo kufanya kazi ipasavyo.[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Tahoma, Calibri, Geneva, sans-serif]
[/FONT]

[FONT=Verdana, Arial, Tahoma, Calibri, Geneva, sans-serif]Kwa magonjwa mengine yanayosababishwa na maisha tunayoishi kama presha, cancer, figo, ini, vidonda vya tumbo na mengineyo mengi pia tunatoa huduma ya kupunguza makali na kutibu.[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Tahoma, Calibri, Geneva, sans-serif]
[/FONT]

[FONT=Verdana, Arial, Tahoma, Calibri, Geneva, sans-serif]Kwa mawasiliano zaidi tutafute kwa no. :

[/FONT]

+255 758 768 855, +255 716 768 855,
 
Back
Top Bottom