cisty hakuna njia ya mkato mimi nilipata 2005 dawa yake ni operation tuu tena wahi my dear
Sawa mkuu na usisahau kunijulisha hali yake kwa ujumla anavyoendelea.
Je naweza kusaidiwa kupata watoto mapacha???
Haya mambo haya... Kila la heri
Sisi tunaendelea vizuri mkuu ila nimekutafuta katika simu sikukupata
Nipo sana mkuu, siku nyingi kweli
Ndugu yangu Kitoabu, tafadhari nipigie simu katika namba yangu 0714755582 tuongee ili tukutane tulimalize tatizo hili.